Walimu wa miaka ijayo..!! Duh..!!!

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
2,785
Reaction score
821
Kwa jinsi baadhi ya form one
walivyo wadogo kiumri,
inaashiria kwamba kwa baadae
kutakuwa na walimu
watakaokuwa kwenye peer
group moja na wanafunzi wao,
ina maana kwamba walimu na
wanafunzi wao wote
watakuwa adolescents, ina
maana kwamba wote watapita
chocho zilezile, ina maana
kwamba wote walimu na
wanafunzi wao watavaa
milegezo, na kwa hiyo ina
maana kwamba watagongana
kwenye 'anga' flan hivi, and
therefore, ina maana kwamba
wataishi kama paka na panya,
i.e. watatunishiana misuli,
walakini unabii huu utatimia
baadae sana sio sasa hivi.
 

Kama wewe ni mwalimu sidhani kama wanafunzi wako wanakuelewa' hiki ulichoandika hapa hakieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…