walimu wa msingi mlio magu msipitwe uhondo

walimu wa msingi mlio magu msipitwe uhondo

MANKWI G

Member
Joined
May 15, 2015
Posts
27
Reaction score
3
kwanza kabisa heshema kwenu. kama mada ilivo uhondo uko hivi: kwa aliyetayari usafiri bure, ada ya nyumba miez sita na ofa zngne kwa aliyetayari kubadili kituo cha kaz mi nije magu yeye aje sengerema. contact 0765195529/0789333382
 
Back
Top Bottom