Walimu wa sayansi manispaa ya songea wanaonewa

KITOMONDO

Senior Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
100
Reaction score
20

Manispaa ya Songea ime jaa ufisadi wa hali ya juu,ambapo watendaji wake wanafanya hujuma kwa walimu wa sayansi ambao walitakiwa kuwa na semina ya kuongeza ufanisi katika taaluma yao ya ufundishaji wa masomo hayo,semina hiyo iliyo takiwa kufanyika mwezi wa nne haijafanyika hadi sasa,kumekuwa na sinto fahamu kuhusu semina hiyo kwani huu ni mwaka wa pili sasa tokea walimu wa sayansi kutopatiwa haki yao ya msingi ya kufanya semina hiyo,tokea mwaka jana walimu wa sayansi hawajapata fursa ya kufanya semina hiyo ili hali wa halmashauri nyingine wana pata haki yao ya msingi ,taarifa kutoka kwa afisa mmoja wa idara ya utumishi wa umma wa manispaa hii zinasema kuwa fedha za semina za walimu hao zime liwa na wajanja wachache wenye uchu wa kutajirika haraka, sisi kama walimu wa sayansi tuna mwomba waziri wa elimu aingilie kati suala hili ili tuweze kupatiwa haki yetu ya msingi ya kufanya semina
 
Tumesikia walimu wote wa mkoa wa Ruvuma ni vibaraka wa CHADEMA hampati semina ng'o. Mkuu wa kigonsera ndiye aliyeambiwa atafute wakufunzi wazoefu wa competence based! Eti mkoa huu hauna wataalamu hao. ina maana matogoro haina wajuz hao? Hujumaaaaa!
 
kimkoa chenyewe umaskini mtupu!afu mnataka kuwasumbua walimu wawatu!wapeni haki zao haraka.hapo songea elfumoja kama elfukumi!walimu lianzisheni tu mnaogopa nn?nendeni kwamkuu wamkoa komaeni nae,kesho tu mpunga wasemina mtapata soon!haki inadaiwa sio kuomba ausio walimu ruvuma!!!
 
Halafu mwisho wa mwaka wote wafanye mitihani ya necta kwa real practicle huyo mwalimu tokea ameanza kazi hajawai fanya hizo practicles na semina ndio hizi. Waache wazike kabisa nyie mwisho wa mwezi km kawa atm.
 
Me najuuuuta kuajiriwa limkoa hili, la kipumbavu sana limejaa ukabila na umbea tu, hata mitoto yao haina hata molari ya kujifunza, shenz type!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…