Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja na matatizo mengine ya shule za serikali ieleweke wazi kuwa hawa walimu hawataki kufundisha na ni wazembe,inatakiwa dawa ipatikane,dawa siyo mshahara,hata wakiongezwa mshara hili tatizo linahitaji tiba mbadala,tujifunze private

private nyingi wanalipa kidogo na hawana permanent teachers maana walimu hutafuta maslahi,ukikuta inalipa zaidi basi walimu wanakaa muda mrefu,hawa jamaa wanawasimamia walimu kufundisha hata kama hawataki lazima wapige pindi ama waache kaziprivate dau kubwa mwalim anapata salary nzur, mazingira mazur ya kufundishia vifaa kibao yani bila kusimamiwa unajikuta una ham ya kufundisha sasa serikalini majanga matupu kila kukicha afadhali ya jana BRN itasubiri sana
pamoja na matatizo mengine ya shule za serikali ieleweke wazi kuwa hawa walimu hawataki kufundisha na ni wazembe,inatakiwa dawa ipatikane,dawa siyo mshahara,hata wakiongezwa mshara hili tatizo linahitaji tiba mbadala,tujifunze private
private nyingi wanalipa kidogo na hawana permanent teachers maana walimu hutafuta maslahi,ukikuta inalipa zaidi basi walimu wanakaa muda mrefu,hawa jamaa wanawasimamia walimu kufundisha hata kama hawataki lazima wapige pindi ama waache kazi
nash¨ªndwa kuelewa kama kweli mleta mada IQ yake ni ya binadamu ,kwanza sijuh¨ª amefanya utafiti wapi.namuomba kwanza afanye utafit¨ª juu ya yafuatayo:mazingira ya kufundshia-madarasa madawat vitabu na idadi ya wanafunzi darasan ,idad ya walimu na masomo wanayo fundisha,mazingira ya makaz ya walimu, masilai ya walimu,mfumo wa mitihan ya kipimo au mchujo kwa madarasa yote. wewe kama siyo gamba utakuwa umenielewa.
jaribu kufanya utafiti itakusaidia kutoa wasifu wa shule za private ukitofautisha na shule za kata utapata majibu sahihi