Walimu wa Serikali ni wazembe kufundisha kisa hawasimamiwi

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,126
pamoja na matatizo mengine ya shule za serikali ieleweke wazi kuwa hawa walimu hawataki kufundisha na ni wazembe,inatakiwa dawa ipatikane,dawa siyo mshahara,hata wakiongezwa mshara hili tatizo linahitaji tiba mbadala,tujifunze private
 
private dau kubwa mwalim anapata salary nzur, mazingira mazur ya kufundishia vifaa kibao yani bila kusimamiwa unajikuta una ham ya kufundisha sasa serikalini majanga matupu kila kukicha afadhali ya jana BRN itasubiri sana
 
Weka Source au ni Tetesi.?
No Research no right to talk.
 
Hatuwezi kulia na walimu peke yao huku watumishi wenzao wakifanya wanavyotaka. Inatupasa kubadilisha haliya utumishi wa umma. Hili litawezekana tu tu pale watawala watakapoelewa kuwa hazina kubwa huwa zinafichwa kwenye maeneo yasiyopendeza ka macho. Mafuta yako kwenye maeneo yasiyo na rutuba za kutosha, gesi iko kwenye maeneo yaliyosahaulika na hivyo mfumo wa elimu usiowapendelea masikini hauwezi kuleta tija.

Wagunduzi waanaofahamika kama vile mgunduzi wa Penicillin walitoka familia ambazo hazikuwa na uwezo wa kulipa ada, sisi kama nchi tukiridhika na kusomesha watoto wa familia zenye uwezo wa kulipa ada, tutaendelea na kufanya mambo ya kawaoda ya kila siku ambayo yanatusaidia kula kulala na kuzaliana.
 
private dau kubwa mwalim anapata salary nzur, mazingira mazur ya kufundishia vifaa kibao yani bila kusimamiwa unajikuta una ham ya kufundisha sasa serikalini majanga matupu kila kukicha afadhali ya jana BRN itasubiri sana
private nyingi wanalipa kidogo na hawana permanent teachers maana walimu hutafuta maslahi,ukikuta inalipa zaidi basi walimu wanakaa muda mrefu,hawa jamaa wanawasimamia walimu kufundisha hata kama hawataki lazima wapige pindi ama waache kazi
 
jaribu kufanya utafiti itakusaidia kutoa wasifu wa shule za private ukitofautisha na shule za kata utapata majibu sahihi
 
Shule ina Test tube moja, madirisha ni kama mlango, madawati hayatoshi, choo mwl had aende nyumbani.. Unafikiri kuna Hamasa hapo?
 
pamoja na matatizo mengine ya shule za serikali ieleweke wazi kuwa hawa walimu hawataki kufundisha na ni wazembe,inatakiwa dawa ipatikane,dawa siyo mshahara,hata wakiongezwa mshara hili tatizo linahitaji tiba mbadala,tujifunze private

huna hoja wewe ni pumba tupu ulizo ziandika hapo ,hata sifa ya kuchambua mambo huna,fanya research sio unakurupuka tu kutoka chooni kunya unakuja kutoa haja nyepesi kama hizi zisizo tumia akili wa tathimin, huwezi linganisha walimu wa private na walimu wa govnment hii ya tz ,yaani kunatofauti kubwa kama mbingu na ardhi ,shiiiit!
 
private nyingi wanalipa kidogo na hawana permanent teachers maana walimu hutafuta maslahi,ukikuta inalipa zaidi basi walimu wanakaa muda mrefu,hawa jamaa wanawasimamia walimu kufundisha hata kama hawataki lazima wapige pindi ama waache kazi

huwezi kuongelea maswala ya elimu wakati wewe ni bar maid., wewe unacheweza kukitolea maelezo vizuri kwa ushahidi ni aina mpya za opener zilizo toka,aina mpya ya pombe na kiwango cha alcohol,maboresho ya chupa za vinywaji,na aina ya mabuzi na ulipaji wao,lakini swala la elimu kaa nalo mbali kabisa siyo level yako,.waache wanao jua kutoa data na vivid research ndio waje kutolea maelezo maswala hayo. Wewe umesha shindwa.
 
nashíndwa kuelewa kama kweli mleta mada IQ yake ni ya binadamu ,kwanza sijuhí amefanya utafiti wapi.namuomba kwanza afanye utafití juu ya yafuatayo:mazingira ya kufundshia-madarasa madawat vitabu na idadi ya wanafunzi darasan ,idad ya walimu na masomo wanayo fundisha,mazingira ya makaz ya walimu, masilai ya walimu,mfumo wa mitihan ya kipimo au mchujo kwa madarasa yote. wewe kama siyo gamba utakuwa umenielewa.
 
Huyu dogo ameropoka, elimu hivi sasa katika sekta ya uma inamambo mengi sana yanayochangia, kwa hiyo unapozungumzia upande mmoja unakosea.

Huwenda kuna madhaifu ya walimu lakini sio kwa kiasi cha kusema iwe sababu ya wanafunzi kufeli/elimu kushuka.

Mfano mdogo, kunashule ambazo zimebahatika kuwa na walimu wa kila somo lakini unakuta kila kidato kina mikondo mitatu au minne na katika kila mkondo unakuta wanafunzi wako 50-60, je hapo unadhani mwalimu atawamudu wanafunzi wote hao?

Kunamadhaifu ya walimu lakini haijawa sababu ya wanafunzi kufeli.
Na ukumbuke "Human being are not essentialy lazy, but are made so by beurocratic nature of the organization"
 
Nadhani unaongea 2 na nahisi we si mwl. We ni sawa na watazamaji 2 wanaosema ingekua mi ningefunga hil gol.uliza uambiwe
 
jaribu kufanya utafiti itakusaidia kutoa wasifu wa shule za private ukitofautisha na shule za kata utapata majibu sahihi

Bora umenisaidia kujibu Mshinga huyu anasema tu maisha ya kijijin unayajua unayasikia wewe? asikwambie mtu kabisa
 
Last edited by a moderator:
pamoja na matatizo mengine ya shule za serikali ieleweke wazi kuwa hawa walimu hawataki kufundisha na ni wazembe,inatakiwa dawa ipatikane,dawa siyo mshahara,hata wakiongezwa mshara hili tatizo linahitaji tiba mbadala,tujifunze private

Kama ni kujifunza private:
1. walimu serikalini walipwe mishahara na marupurupu km shule binafsi
2. idadi ya wanafunzi darasani shule za serikali iwe ndogo km shule binafsi
3. Shule za serikali ziwe na maabara zenye vifaa, vitabu vya kutosha vya ziada na kiada, maktaba, maabara ya computor
4. shule za serikali ziwe na ikama nzuri ya walimu walio na sifa km shule binafsi....and so and so and so.
 
pamoja na matatizo mengine ya shule za serikali ieleweke wazi kuwa hawa walimu hawataki kufundisha na ni wazembe,inatakiwa dawa ipatikane,dawa siyo mshahara,hata wakiongezwa mshara hili tatizo linahitaji tiba mbadala,tujifunze private

Muathirika wa Div. 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…