Walimu wa shahada wanaajiriwa kulingana na asilimia za mkopo walizokuwa wakipata chuo

Kwa akili yko kisa wewe umekopa unafkr kila mtu amekopa,akili robo wewe.
 
Kaka Makuku Rey, unalipa kisasi kwa yule aliyesema 'ajira hazitatolewa kwa watu wa social science? kiswahil na history.
 

weka bangi mbali na watoto kama hawa.
 
waliokunywa supu au kufeli hata somo moja kwa dploma! hatutakutana kazini! but mliofaulu msiwe na waxwax. Tangazo hili ni kwa wale wanaojiita 'DEGREE HOLDERS'


ahaaa kumbe we ni Certificate holder..
 
cyo wanajiita wamehitimu kwani ww hupendi kufika huko? Au credits hazitoshi acha majungu ya kike
 
Uyu makuku ni taahira kwel,babako mdogo akupe info za degree wakat una certificate,how
 
Hakuna kitu kama hicho kwa serikali,ingekua private kweli.Lamsingi tufanye namna ya kujua ni lini haswa wanatangaza hizo ajira mpya.
 

huyo baba mdogo anafanya kazi gan hapo wizarani isije ikawa anafagia tu ofis au kupalilia maua tu ya hapo nje ndomaana anakosa muda wa kukaa na mwanae wakaongea vitu vya maana mpaka kufikia hatua ya kuongea vitu vya kipuuzi kama hivi na mwanae, au na yeye ni mzee wa magumashi nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…