Walimu wa shahada wanaajiriwa kulingana na asilimia za mkopo walizokuwa wakipata chuo

Na habr umeleta ya kimbea,uwe mkwel siku ingne,alhamis si leo sasa,sikulaumu sana unaitaj elimu ya shahada iQ yako ndogo sana
No conection kati ya Ninakoishi na taarifa hii! by the way mi xo ------ rema! mi MMBEYA.
 
Wakuu habari kama imekuwa msumari kwenuu! msinishambulie mimi ngoja tuxubir tuone! sio mbali kutoka haya masaa,tutaanzisha uzi mwingne wa kuishambulia sirikali kuhusu majina ya walimu wapya!
 
na habr umeleta ya kimbea,uwe mkwel siku ingne,alhamis si leo sasa,sikulaumu sana unaitaj elimu ya shahada iq yako ndogo sana

alhamisi haijakwisha bado mkuu! Mbona jazba?
 
waliokunywa supu au kufeli hata somo moja kwa dploma! hatutakutana kazini! but mliofaulu msiwe na waxwax. Tangazo hili ni kwa wale wanaojiita 'DEGREE HOLDERS'

waxwax ndo nini we kweli mtoto katoe kwanza kamasi
 
Umbea,umbea,umbea
kijana usiwe mmbea mwalimu unakuja maneno y ktnga
 
I log out!MA C.C.M na BABA MDOGO wote wahuni! i waz promised today!aaaagry aaaaah! a'm xo sory u guys!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…