Walimu wa Tanzania na kutokuwa na ufahamu wa ugonjwa wa Hysteria

Walimu wa Tanzania na kutokuwa na ufahamu wa ugonjwa wa Hysteria

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Mdau wa jf umeshawahi kuona wanafunzi wa shule ya msingi hasa wa kike wakidondoka hovyo na kupiga mayowe huku wakikimbia hovyo? Huwakuta hata wa secondary mostly wa kike.

Basi ugonjwa huu huitwa Hysteria.

Basi kwa taarifa yako Watanzania wengi mpaka walimu huamini hayo ni mapepo au majini.

Na wanadhani dawa ni kuwaita viongozi wa dini kuja kuyaondoa mapepo kwa dua.

Nikipata muda nitakuja kufafanua chanzo na tiba yake.

Kama Kuna mdau anaweza kuuelezea ruksa
 
Back
Top Bottom