Walimu wa Vyuo na Mgomo wa Walimu

Walimu wa Vyuo na Mgomo wa Walimu

PROF. ENG

Senior Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
122
Reaction score
35
Hivi walimu wa vyuo nao wapo kwenye huu mgomo wa walimu!!, Kama hawapo kwani wao tofauti yao na hawa wengine ni nini!!.
 
Hivi walimu wa vyuo nao wapo kwenye huu mgomo wa walimu!!, Kama hawapo kwani wao tofauti yao na hawa wengine ni nini!!.

Tatizo walimu wa vyuo wengi ni mamluki, watu kama akina kitila mkumbo wapo wachache sana, hawazidi hata watano. Wangeweza kuwasupport sababu na wao ni walimu, lakini ni wabinafsi sana.
 
Tatizo walimu wa vyuo wengi ni mamluki, watu kama akina kitila mkumbo wapo wachache sana, hawazidi hata watano. Wangeweza kuwasupport sababu na wao ni walimu, lakini ni wabinafsi sana.

So hiyo ndio tofauti???!!
 
hao walimu wa chuo wanadai maslahi gani kwa serikali? je? hao walimu wachuo wapo CWT?
 
Hawawezi kuwepo kwa kuwa dai kuu la CWT ni maslahi kutokushahabiana na hali halisi ya maisha...
Waalimu wa vyuo mishahara yao ipo juu kidogo
 
Waalimu wa vyuo vya ualimu nguzi ya diploma ni wanachama wa CWT. Taarifa za magazeti (Pamoja na Mwananchi) zimeripoti kuwa Waalimu wa Chuo cha Ualimu Songea wamejiunga kwenye mgomo.
 
Hawawezi kuwepo kwa kuwa dai kuu la CWT ni maslahi kutokushahabiana na hali halisi ya maisha...
Waalimu wa vyuo mishahara yao ipo juu kidogo

hawa wako RAAWU
 
Si waelewa hilo ndo tatizo lao wao wanajiita wakufunzi ila mishahara ni ile ile tu
mungu ibariki tz
 
Back
Top Bottom