Hivi walimu wa vyuo nao wapo kwenye huu mgomo wa walimu!!, Kama hawapo kwani wao tofauti yao na hawa wengine ni nini!!.
Tatizo walimu wa vyuo wengi ni mamluki, watu kama akina kitila mkumbo wapo wachache sana, hawazidi hata watano. Wangeweza kuwasupport sababu na wao ni walimu, lakini ni wabinafsi sana.
Hawawezi kuwepo kwa kuwa dai kuu la CWT ni maslahi kutokushahabiana na hali halisi ya maisha...
Waalimu wa vyuo mishahara yao ipo juu kidogo