Walimu wa zamani Nyerere, Mwinyi na Magufuli, walimu wa Leo Wenje,Boni Yai na Pambalu. Elimu imeshuka sana!

Walimu wa zamani Nyerere, Mwinyi na Magufuli, walimu wa Leo Wenje,Boni Yai na Pambalu. Elimu imeshuka sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hebu fikiria Wenje na Boni Yai ni walimu kabisa wa Secondary schools halafu tunategemea vijana wetu wafaulu? 🐼

Hii Nchi hii

Ngoja niishie hapo

Mlale unono 😂😂
 
Sema kwa bony ni fedheha mkuu😅juzi kaongea utumbo kisenge ety "amekula kupitia chadema" hivi unatoa wapi kusema maneno kama haya mbele ya watu ambao kupata dollar tatu=7k ni mtiti
 
Hebu fikiria Wenje na Boni Yai ni walimu kabisa wa Secondary schools halafu tunategemea vijana wetu wafaulu? 🐼

Hii Nchi hii

Ngoja niishie hapo

Mlale unono 😂😂
Wenje huwa anajiita mfanyabiashara na sio mwalimu.
 
Elimu kwa ujumla imeshuka sana.
Japo walimu bora bado wapo japo wamemezwa na mfumo.
 
Back
Top Bottom