Walimu waadhibiwe

gwayne

New Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Wapunguziwe mishahara wakifelisha wanafunzi :thumbup:
 
alokwambia walimu ndio wanaf3lisha ni nani?
sisi tunafundisha na kutimiza wajibu wetu suala la kufeli kwa kiwango kikubwa halimuhusu mwalimu na halina correlation na mshahara kabisa,pole kwakua umejichanganya.
 
kaz ya mwalimu ni kufundisha na si kufaulisha,kwenye barua ya ajira wanaandika 'unakwenda kufanyakazi ya kufundisha na nyinge utakazopangiwa na mkuu wako' hawakusema unakwenda kufanya kaz ya kufaulisha!,cha kujiuliza mbona katka darasa moja wengine wanafaulu na wengine wanafel wakat wote wamefundishwa na mwalimu yuleyule?
 
Huyo mleta uzi ndio wale wanaodhurura na bahasha mitaani wakitafuta ajira. Anaona kinyongo walimu kupewa ajira ili hali yeye amesugua benchi miaka kadhaa kitaa bila hata kiajira cha kujishikisha. Mleta uzi ikiwa kila mgonjwa akifa au akashindwa kupona dokta anaemuuguza anakatwa mshahara utawakata wa ngapi? Unajua wanafunzi kufeli si kosa la walimu bali ni wazazi na sirikali yenyewe? Kama mtoto anapeleka sekondari akiwa na wastani wa 80 ya 250 wewe unategemea nini? Kama mtoto anawastani wa 20 ya 100 kidato cha pili anaruhusiwa na sirikali aende kidato cha tatu unategemea nini akifika form 4? Kama shule inamwalimu mmoja wa hisabati na ina mikondo 16 unategemea nini? Jaribu kuwa thinkative ndugu sio kuleta chuki kwa walimu, kasome post graduate ya ualimu utaajiriwa pia. Au kasome diploma utapata ajira pia. Maneno hayata kusaidia wenzio ndio wanaingizwa kwenye payroll hivyo.
 
Kwa stail hiyo hata viongoz wako kwamaana ya wa serikal na wabunge au ngaz zozote wangekuwa nao wanakatwa mishahara kwakutotimiza ahadi zao.


Serikal iwatese walim hata wewe raia nawe???


Jaribu kufikiria kwa makini kabla hujaleta mada
 
Imekula kwake hayo yanamtosha wahi post graduate la sivyo utaitwa "yule anaetembea na bahasha kila siku"
 
kama wanafunzi wenyewe ni kama mtoa mada walimu tuna kazi kubwa
 
Kuna haja ya JF kuwa na kipengele cha IQ testing kabla ya kumsajili mtu humu. Tunaweza kuchangia njia za kufanya hii test.
 
Yaan we jamaa sijui umefikiria nin ila hoja yako haina mashiko,sikupingi kwa sababu mim ni mwalimu hapana ni kwa sababu sijaona wazo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…