Walimu waanza kumiminika kwenye benki yao (MCB)

Hauna masharti yoyote. Riba yake ni 5% tu. Wale wenye dharura kabla ya mshahara hujaza form maalumu papo hapo na kupata mkopo huo, kisha fedha hiyo hukatwa mwishoni mwa mwezi.

Hauna masharti yoyote
Hauna masharti yoyote
 
sijaona uchambuzi hapo sana sana ni blah blah nyingi tuu ili kui promote MCB by the way we wish u all the best katika ku I market hii bank yetu changa
 
Hauna masharti yoyote. Riba yake ni 5% tu. Wale wenye dharura kabla ya mshahara hujaza form maalumu papo hapo na kupata mkopo huo, kisha fedha hiyo hukatwa mwishoni mwa mwezi.

Hauna masharti yoyote
Hauna masharti yoyote
Ina maana kwwmba ukiomba hiyo 10,000,000 unapewa 9,400,000. Then kwenye makato unarudisha mil 10 ile ile?
 
Walimu niwatakie vifinyo visivyo na idadi maana hapa naona mnaingizwa tena kwenye shimo la hewa mchana kweupeeeee [emoji23][emoji23]
 
Umesema riba zao/zenu ni kiasi gani? Maana umeandika mambo. Walimu bahna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…