Walimu waanza kutoa milio baada ya mwezao kuliwa kichwa kwa ukatili

Shule hii bila viboko hamna kitu
 

Attachments

  • Screenshot_20250924-112244.png
    250.3 KB · Views: 21
Ni kweli msemayo, ila tuwashukuru sana bila wao leo hii usingeandika huo uhalo hapa, tuwaheshimu sana hawa ng'ombe wa ccm.
 
Kwahiyo ni sawa kumpiga mwanafunzi mitama? Hawajui steps za kuchukua kwa mwanafunzi asiye na nidhamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…