KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Dec 28, 2011 #1 Huko mbinga walimu waitwa makanjanja na Mh. capten John komba, Jamani wana jf nini maana ya makanjanja na je hii ni sahihi.
Huko mbinga walimu waitwa makanjanja na Mh. capten John komba, Jamani wana jf nini maana ya makanjanja na je hii ni sahihi.
S sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 Dec 29, 2011 #2 KANCHI said: Huko mbinga walimu waitwa makanjanja na Mh. capten John komba, Jamani wana jf nini maana ya makanjanja na je hii ni sahihi. Click to expand... source please!
KANCHI said: Huko mbinga walimu waitwa makanjanja na Mh. capten John komba, Jamani wana jf nini maana ya makanjanja na je hii ni sahihi. Click to expand... source please!
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Dec 29, 2011 Thread starter #3 sugi said: source please! Click to expand... RFA kipindi cha 8:45-9:15 usiku mkuu yesterday.
T tusichoke JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 1,316 Reaction score 216 Dec 30, 2011 #4 Kumbe yeye ni std ngapi vile? Maana nasikia mutu ukishakuwa mbunge hata elimu inapatikana automatically ,kwa hiyo yeye ni zaidi ya walimu,ama kweli tz kuna vioja
Kumbe yeye ni std ngapi vile? Maana nasikia mutu ukishakuwa mbunge hata elimu inapatikana automatically ,kwa hiyo yeye ni zaidi ya walimu,ama kweli tz kuna vioja