Hv watu msipotutaja walimu hamuoni raha??
kushindwa kumtaja mwalimu ni sawa n kushindwa kumtaja naibu katibu mkuu wa ccm bara mwigulu mchemba
tafadhali ndugu naomba ufute iyo kauli yako yani unafananisha mwalimu na Mwigulu?? Kwanza daa nasikia kutapika
Nye valimu ikasi mwinayo