VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Kuna baadhi ya walimu walioajiriwa mwaka tajwa hapo juu.
Mshahara wa mwezi wa tano #wameingiziwa mshahara Mara mbili yaani walipokea mshahara double siyo wote ila ni baadhi!
Nilikuwa nataka jua kuwa huuu ni mchakato wa kuwalipa madeni kwa awamu?