Walimu waliochaguliwa wanakwenda lini JKT ?

Walimu wepi tena dah kweli mi zumbukuku dunia ipo huku
 
Wewe nenda tu kambi yoyote naona una hamu ya Jkt.
 
walimu tafuteni miradi ya kufanya mwakani ajira hazitabiriki.
 
Wanaenda soma hili tangazo

Ila Mbona tarehe ya kulipoti diploma inachanganya wanalipoti lini nisaidieni
 

Attachments

  • 1405779543119.jpg
    75.7 KB · Views: 3,560
full madoso, kamanda hakuna kuwarushieni Taulo,mtanyooka
Na ni mwendo wa Viparaaaaaaa!!,kama asemavyo Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…