Walimu walioshiriki mgomo waenguliwa kwenye zoezi la sensa

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
604
Mikoa miwili ya tz bara imetangaza kuwaondoa kwenye zoezi la sensa walimu wote walioshiriki mgomo uliopita.
 
Mikoa gani hiyo. Tetesi zimezagaa walimu wanaondolewa ndio maana mpaka sasa majina bado baadhi ya mikoa. Sensa ya mwaka huu ni batili mara waislamu kugomea, mara waalimu kuondolewa. Ngoja tuoene shughuli za dhaifu.
 
Mikoa miwili ya tz bara imetangaza kuwaondoa kwenye zoezi la sensa walimu wote walioshiriki mgomo uliopita.
 
Kama wanaondoa waondoe tu tatizo liko wapi hapo
ina maana hao waalimu wamekua wakiishi kwa kibarua cha sensa
siku zote?
 
watawaondoaje wakati kesi iko mahakamani?au mahakama ndiyo inawaondoa?
 
watawaondoaje wakati kesi iko mahakamani?au mahakama ndiyo inawaondoa?

Acha wawatoe,wataingia wengine kuna vjana lukuki wamemaliza vyuo this time around acha nao wafaidi cake ya Taifa japo sehemu kubwa inaliwa na big brass wa ccm
 
Saa hizi tuko hapa halmashauri kwenye zoezi la kuondoa walimu waliogoma kwenye vituo walivyopangiwa awali. Nasikia ni agizo la RAS.
 
sijui mitihani itakuaje, watendaji wa vijiji na mitaa wajiandae
 
sijui mitihani itakuaje, watendaji wa vijiji na mitaa wajiandae

Itapendezaje? Kama nawaona form 4&6 leavers wana apply kwenda kusimamia na kusahihisha mitihani ya form 4&6. Tz!
 
Ubabe,ukiukwaji wa haki za binadamu,kukomeshana ndio mim nimekiona hapa halafu pia ccm ni chama legelege kiutendaji!
 
Manispaa moja huku kusini,walimu walio wengi hawakuchanuliwa,ila madiwa ndungu zao,watoto wao, watendaji na wapiga kura wao wameja katika zoezi hili la sensa,rushwa kwa sana,subirini madudu ya sensa mwaka huu.
 
kitu kingine nachofahamu katika serikali iliyopo madarakani haipo makini kwasababu mgomo wa walimu haukuwa na usiano na sensa you can lie people sometime but not all the time. time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…