Ni majuzi tu walimu nchi nzima waligoma kwa madai ya msingi......Simaanishi kua naupenda mgomo,.....Bali kilio changu ni kua ilipobainika kua mgomo ni batili,hatua gani ambazo chama cha walimu wamechukua?Nasema kua CWT ifutwe mana wanakula pesa kazi no