Walimu wanahitajika

Aisatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
781
Reaction score
333
Habari wanajamvi,mwalimu wa BIOLOGY NA CHEMISTRY anahitajika awe na diploma na kuendelea, shule ipo Pwani-kibaha.anayehitaji au anafaham mwl wa masomo hayo anibox au 0719419204.
 
Pia jinsi ya kike ndio mnapewa kipaumbele zaidi.mbona hamjitokezi?!
 
Hizi nafasi ni kwa wote (kiume na kike) ila kuna preference ya kike,kama hawajitokezi wanachukuliwa waliopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…