Walimu wanaofanya kazi shule zinazoongozwa na Wahindi wana moyo

Walimu wanaofanya kazi shule zinazoongozwa na Wahindi wana moyo

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Kama kichwa cha habari kinavyosema!

Mtoto wangu kasoma shule moja inaitwa St. Charles Borromoe ipo Mbeya Mafiati. Kamaliza darasa la saba mwaka huu. Shule hii inaongozwa na masister wahindi hapo. Juzi nilienda kupeleka form asign mkuu wa shule mtoto alikuwa anaenda kufanya interview Kilimanjaro.

Mkuu wa shule muhindi nilimkuta anawafokea walimu watu wazima kabisa yaani kama watoto wadogo niliiumia sana ilikuwa asubuhi walimu wengine wamejificha kibanda cha mlinzi.

Hivi walimu mtetezi wao ni nani chini ya hili jua? Hawa jamaa kweli wanapata hela kwa kazi sana.

Serikali wasaidieni walimu sio mshahara angalau waheshimike huko wanakofanya kazi.
 
We umeona hilo Ila kuna walimu wengine hawalipwi mishahara on time.

Kwa uzoefu wangu nilioupata katika hii kada unabidi kabla haujafanya maamuzi ya kusomea ualimu uwe na passion na hiyo Kazi.

Kidogo kwa wazungu uta-enjoy life na utapata marupu rupru , utapata motisha kazi.
 
Back
Top Bottom