kinya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 495
- 71
Walimu wa masomo ya sayansi na hesabu(mathematics) wanaofanya semina ya siku kumi 10 katika vituo vya azania na city high school(benjamin mkapa) wanaelekea kususia semina hiyo kwa kile walichokielezea kuchakachuliwa POSHO zao,kwa mujibu wa mmoja wao wanalipwa 15 elfu/day pamoja na msosi usiokidhi viwango kitu kilichopelekea kuanza kuhoji je ni standing order gani inayo elekeza mwl alipwe 15 t/day?
Hakika kama hata hawa wameiva baasi hii IMEVA ...
Hakika kama hata hawa wameiva baasi hii IMEVA ...