Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Niko kwenye basi toka Bunda kwenda kuripti DSM -Temeke, nilikopangwa post yangu ya ajira ya ualimu,
lakini nimewasiliana na wenzangu watatu ambao washaripoti mmoja yuko temeke kaambiwa warudi j4 kwa kuwa mhusika hayupo,
mwingine yuko bariadi kapokelewa ila wameambiwa hela hakuna, na mwingine yuko manyoni kaambiwa hela hamna, yaani hapa niko kwenye basi najuta kwa nini naenda kuripoti maana sina salio na hali ndio hiyo