Niko kwenye basi toka Bunda kwenda kuripti DSM -Temeke, nilikopangwa post yangu ya ajira ya ualimu,
lakini nimewasiliana na wenzangu watatu ambao washaripoti mmoja yuko temeke kaambiwa warudi j4 kwa kuwa mhusika hayupo,
mwingine yuko bariadi kapokelewa ila wameambiwa hela hakuna, na mwingine yuko manyoni kaambiwa hela hamna, yaani hapa niko kwenye basi najuta kwa nini naenda kuripoti maana sina salio na hali ndio hiyo
vumilia, bado kidogo mmeo atoke kazini, mbona kelele hivyo?!!
mkuu mpatanishi ahsante sana wangu, ngoja nijipange ntaku pm ili tufahamiane
huyo alokwambia muongo mi nipo manyoni kilichofanyika ni kujaza forms na kupelekwa sehemu ya msosi! ONYO: yakuambiwa changanya na yakwako usiwe mpumbavu
huyo alokwambia muongo mi nipo manyoni kilichofanyika ni kujaza forms na kupelekwa sehemu ya msosi! ONYO: yakuambiwa changanya na yakwako usiwe mpumbavu
Kinondoni tumeripoti leo, tumeandka tu majina, tumeambiwa turudi ijumaa...
Sasa tukirudi ijumaa, ndo tutajua, mie ninachotaka ni waraka wa elimu namba 9 wa 2009, unaoonyesha stahk zangu! Huwez kudai kitu usichokjua..
Walimu wapya tujtahd kubadl uozo uliopo kwa jpo kdogo kw mahal tulpo.
Njo mkuu stahk zako utapata. Jasho la mtu halpotei.
Acha utoto ndugu!Nenda karipoti kituoni,pesa utapata tu!Fedha za serikali hazitolewi kama njugu!Kama huna pesa,kituo chako kitakuwezesha uishi mpaka fedha zitakapoletwa!huelewi mchakato wa hizi ajira,
ndio maana unatoa lugha chafu