Walimu wanaoripoti ajira mpya hakuna pesa.

Mambo yatakua mazuri,hela ni mchakato hazitoki kiholela!m.f nimeripoti wilaya 1 hvi,jana tumejaza makaratasi mbalimbali wao wataanza kuyapitia kama yako sawa wanatuingiza kwenye Pay row,hauoni mchakato unavyo enda?

Dah! hako ka neno pay row katamu kuliko......
 
Swala hapa sio kuwa mtoa hoja hajui ya kuwa pesa huwa zina utaratibu kabla ya kutoka, kilichopo ni kuwa pesa za hawa watu wa

ualimu zimekuwa zikichelewa kupita huo muda ambao taratibu husika zinapaswa kukumilika. Ebu jiulize, hivi serikali inataka kuwa kabla

hatujaenda kwenye ajira zetu ambazo ziko mbali na tunakoishi tuuze kwanza akiba ya mipunga tuliyonayo ndani ili kutafuta nauli na

pesa ya kujikimu kwenda kufundisha shule za kata teh teh teh ambazo hazina vyoo, ofisi na madawati waache kutania watu

meeeeeeeeeeeeen. Mtu mweny akili timamu hawezi kufanya

hivyo. Serikali igharamikie kama ina nia ya dhati.
 
Dah! hako ka neno pay row katamu kuliko......

unachekesha hv unajua mchezo wanaoucheza kama hujapata mshahara mwezi wa nne halafu pesa ya kujikimu ina uhusiano gani na pay roll? au huna habari na hizo pesa
 
unachekesha hv unajua mchezo wanaoucheza kama hujapata mshahara mwezi wa nne halafu pesa ya kujikimu ina uhusiano gani na pay roll? au huna habari na hizo pesa

nadhani unakumbuka niliwahi kutahadharisha hapa! Anyway wa Dar tuwasiliane mwl mwenzenu nipo pande hizi.
 
Lazima mkomae sisi mwaka Jana hadi kilieleweka walikoma na sisi ili walimu wazoefu ni kikwazo hawatoi support hasa hasa UKIWA na bachelor wanaleta wivu... Tunawasubiri kwa pamoja tulete mapinduzi CWT, Sasa ni zamu yetu... Walimu wa primary wameshindwa kuendesha CHAMA chetu CHA walimu
 
mwanzo wanasema MGUMU, so brother we NENDA tu, hope soon mtapewa KIANZIO chenu,!!!! as upo serikalin kua mvumilivu tu wangu, al the best, UKAFUNDISHE sasa NA SIO kuweka WATOTO MIMBA
 
mwanzo wanasema MGUMU, so brother we NENDA tu, hope soon mtapewa KIANZIO chenu,!!!! as upo serikalin kua mvumilivu tu wangu, al the best, UKAFUNDISHE sasa NA SIO kuweka WATOTO MIMBA
Kwa maisha yetu walimu watoto wa kike ndo incentives, posho na marupurupu yetu hatuwezi acha kuwala ila tuzo MAKINI hatuwapi mimba so usiwe na wasiwasi ila kuwala tunawala mbaya kabisa
 
serikali jana imekiri halmashauri hazijapelekewa ela, hali ni mbaya! hata kujiendesha ni ishu! kama ni mwl wa kike jiandae kuolewa na watendaji wa kata ama vijiji, ukibahatika sana utaolewa na watumishi wa halmashauri, kama wa kiume tafuta jimama au mwl wa shule ya msingi akutunze, habari ndo iyo.
 
Kwa maisha yetu walimu watoto wa kike ndo incentives, posho na marupurupu yetu hatuwezi acha kuwala ila tuzo MAKINI hatuwapi mimba so usiwe na wasiwasi ila kuwala tunawala mbaya kabisa

we jidanganye tu,kufanya mapenz na mwanafunzi under 18 jela miaka 30.
 
we uliolewa na nani?
 
Tafadhali mwenye taarifa za uhakika juu ya tanga jiji, vp wanalipa pesa ya kujikimu,
kuna dada yetu hapa anahitaji kufahaamu
 
dah mkuu umeongea pwenti muhim sana mkuu. Mm mwenyewe nimechoka na porojo za cwt.
 
mwanzo wanasema MGUMU, so brother we NENDA tu, hope soon mtapewa KIANZIO chenu,!!!! as upo serikalin kua mvumilivu tu wangu, al the best, UKAFUNDISHE sasa NA SIO kuweka WATOTO MIMBA

Huu ni udhalilishaji mkuu,una maanisha walimu ndo wamejifunzia kutia watu mimba?ni kweli na mkeo utamwitia mwalimu ili akamutie hiyo mimba?be logical braza kaka!
 
Hii ni njama ya serikali ya magamba ili mtoe elimu isiyo bora ili watoto wasielimike kwani wakiondolea ujinga watajawakataa kwa maneno na matendo yao. Magamba wameona ndo njia mmbadala ya kusalia madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…