Walimu waongezewe muda kuripoti

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Kwa yeyote anayehusika naomba alichukue hili walimu wapya watachelewa kuripoti kutokana na mgomo wa mabasi. Mizunguko ni mingi kukusanya vyeti nakadharika.
 
Wewe tu ndo utachelewa na endlea kusubir mgomo uishe afu uje kuripoti, tumechukua mzigo was kujikimu tayari tupo tunawait twnd xul mpyaaaa....wait ndg ucjal
 
ni kweli waongeze mda wa kuripoti huku mikoani usafiri ni shida
 
acheni uoga tena mmepangwa vijijini hmna haraka ya kuwahi kuripoti coz wanawahitaji lazima msubiriwe
 
Kuwa makini ndugu kama uko jirani na eneo ulilopangwa unaweza kusema hivyo ila jamaa anapoint kama mgomo utaendelea wale wa mbali wataathirika sana nadhani cha kushauri ndugu kama hali itaendelea hivi jaribu kuandika barua mahali husika ili kupewa Mda zaidi Leo watu wameshindwa kutoka goms kwenda posta unadhani kutoka dar to mwanza itakuwaje!? Itabid kuripoti na barua kama hali itaendelea hivi.
 
Hata ukiongezwa ila jua watakaochelewa hamtapata mshara WA may
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…