Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
mimi pia mwalimu.
natafuta mwalimu mwenzangu.
watoto tukiwazaa tutawaita darasa la kwanza .la pili.la4
kumbe ndo maana siolewi bwana ngoja nibadilishe fani naenda ualimu wa chekechea kabisa
Mkuu bujibuji yaani nafanya mpango huo, naona ndo sehemu pekee ninayoweza kujisikia nimeoa. Huko kwingine, hakufai ni wasumbufu, wako busy, ukioa hakuna tofauti na maisha ya geto ingawa si wote.
Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol

Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol
Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol
WANASHERIA NA WAHANDISI NDIO WANASHIKA MKIA. Walimu wanajua malezi!

Unajua kazi ya ualimu, hususan ualimu wa chekechea na shule ya msingi ni lazima uwe na upendo wa kweli na watu hasa watoto. Sasa huo upendo una tricle down hadi kwenye mapenzi ya kindoa.

Kuwa mwalimu wa chekechea au msingi halafu usiwe na subira na upendo basi wewe utakuwa uko kwenye hiyo fani kuchukua paycheck tu.

Pia manesi nao huwa ni wake wazuri sana. Tena hawa mimi nadhani wanakuwaga wake wazuri mno kushinda hata walimu.

Wenyewe wasema haiba.... Big up teachersNimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.

mmh we Nyani,manesi na night shifts!