Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

Thanks mkuu, mie pia ni mhandisi na wadada wote nlomaliza nao wameshaolewa. Sema wameolewa na wanaume pia walio na either elimu sawa au wamewazidi elimu kidogo. And they are doing well both kazini na nyumbani
Hiyo nyekundu unaweza kuithibitisha vipi??

Huvu humu kuna walimu kweli?
Wewe bana Nyani hii muswali inahitaji majibu kweli. Mkuu hapa hakuna mwalimu, kwanza wako bize wanapalilia ndoa zao (Ngoja kina Lizzy, AshaDii waione hii hehehehe............)

unajua ukumuoa mfanyakazi wa Benki akizaa mtoto atapata utapiamlo kwa sababu akiingia saa 12 asubuhi anarudi saa mbili usiku. lakini mwalimu ana muda mwingi wa kulea mtoto. vilevile mwalimu ana elimu ya malezi na maadili kuliko banker ndio maana wengi wanakimbilia kumuoa teachera au nurse

Je huoni kama likizo ya wanafunzi automatically ni likizo ya Mwalimu? Yes atakuwa jirani na mazingira ya Shule lakini anakuwa free zaidi kufanya mambo yake. Mfano kuna likizo za wanafunzi zinaenda hadi wiki 6 nazo ni mara mbili kwa mwaka, ongeza midterm 2, sikukuu na wikiend ambazo wengine tunaweza kuwa job.

Halafu hawa mabinti wa benki wanakuwa kwenye ushawishi mkubwa wa mshiko, maana wanafahamiana na mapedeshezee wanaotumia huduma za benki zao. Ni hatari sana hapa................

walimu ni walezi wazuri wa familia na wengi hawana tambo za ajabu kama huko kwingine.

ningeipata hii thread miezi sita iliyopita ningeghairi wazo la kumpotezea my Ex,alikua mwalimu wa primary mpole,mtaratibu,mwenye upendo wa dhati na mawazo ya kujiendeleza...poor me i wanted sexy lady and i felt like i cant go on with a NUN

Waalimu nao cheche 2, kama mnakumbuka, ticha ndio kanifanza.....

Wa benki kwanza wanachungulia account yako imekaaje !!!!!!! Ina dbit balance au credit. Transaction zinaendaje.

Hahahahhhahahhaha umenichekesha sana ila usemalo ni la kweli kabisa.

Pia mwalimu anahamishika kirahisi kumfuata mumewe kikazi, hakuna mambo ya wanandoa mmoja yupo Kagera, mwingine Mtwara mnasubiri mmoja akistaafu ndo muwe pamoja 24/7....Naanza kufunga kwa maombi ya kutafuta waif tcha.

ukiongezea hapo pia inasadikika kua katika sekta mbalimbali za kiserikali sekta ya ualimu hasa wa shule za msingi ndo ya chini kabisa, hivuo unapomuoa mwalimu wewe na proffession yako inayoonekana iko juu na wanajamii basi italeta picha inayoeleweka kuliko kumuoa mwanamke mwenye proff inayoheshimika kuliko ya mwanaume

ikumbukwe kuwa hii ni kutokana na mawazo hasi ya wanajamii wanaotuzunguka.............

Kusema ukweli mimi si mwalimu ila kweli walimu wazuri, as long as una kipato cha kutosha nashauri uoe mwalimu wana muda na wanajua saikolojia ya kulea watoto. Tatizo kama kipato chako kama changu maisha yatakuwa magumu ukioa teacher.

familia ikishatulia mambo mengine yatanyooka tu! Hao wenye vpato vkubwa ni headache tupu ndani ya nyumba

kumbe ndo maana siolewi bwana ngoja nibadilishe fani naenda ualimu wa chekechea kabisa

niambie fani yako nikuoe mi sichagui fani bali mke mwema! Una miaka mingapi?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…