Walimu wapewa Vishikwambi kwa kubaguliwa

njwanjwanjwa

Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
8
Reaction score
11
Baada ya zoezi la sensa na makazi kumalizika, Serikali ilitangaza nia njema ya kugawa vishikwambi vilivyokuwa vinatumika katika zoezi hilo kwa kila mwalimu wa shule ya Serikali wa shule ya msingi, sekondari na vyuoni hapa nchini.

Zoezi Hilo limeshaanza kutekelezwa ila likiwa na sura nyingine tofauti na vile Serikali ilivyokusudia. Sasa walimu hawajapata wote katika ma shule Bali vishikwambi hivo vimegawiwa kwa kuangalia vipaumbele: kwamba kwenye shule walimu wanapewa Kalingana na levo za madaraka : mkuu wa shule, second master, academic, displine, walimu wakuu wa idara za masomo na walimu wa madarasa. Walimu wengine ambao hawana vyeo hawapati chochote Labda tu kama vimebaki.

Kwa mfano kuna shule imepata vishikwambi sita (06) na wakati shule hiyo ina walimu 33. Shule nyingine imepata vishikwambi 26 na wakati ina walimu 41. Kuna shule imepata vushikwambi 29 na wakati ina walimu 36. Vile vile kuna shule fulani imepata vishikwambi Sawa na idadi y’a walimu waliopo shuleni hiyo.

Ugawaji wa hivi vishikwambi umezua sintofahamu kubwa kwenye taasisi ya Elimu na kuacha minong’ono mingi. Walimu wanajiuliza je havitishi kuweza kutoshereza kila mwalimu? Je kauli ya waziri Mkuu pale Dodoma ilikuwa ya kisiasa? Je Serikali haina kanza data ( data base) ya walimu hapa nchini kuweza kulinganisha na idadi ya vishikwambi vilivyotumika?

…..
 
Wataopata hao washukuru jamani mbona hivo.
 
Wote hamtagawiwa na mjue kua vingine vyaweza kuuzwa au kutolewa bure kwa wasiowaalimu.
 
Walimu Hapo Watagombana Mno

AIONE :Mpwayungu Village

Kwa Maneno Machache
 
Hii mambo ya kupenda vitu vya Bure ndo ina wacost walimu sass Tablet ni nini mpaka mraise Concern apa?
 
Vishkwambi vyenyewe hata 200k havifiki bei yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Una takwimu kwamba wakati wa sensa kulinunuliwa tablets ngapi?

Na idadi ya waalimu nchi nzima ni kiasi gani?

Yaani unalilia kitu cha kupewa ambacho hata hukuwa wastahili...
 
Vya nn sasa na nyie...si tumieni hizo smartphone zenu.
 
Back
Top Bottom