Walimu wapya 2013

ksb

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
42
Reaction score
0
Wanajf,inasemekana kwamba walimu wapya waliojariwa hivi karibuni serikali inasuasua katika suala zima la kuwalipa mishahara yao. Ina maana serikali haikujipanga kwa hili?
 
Wanajf,inasemekana kwamba
walimu wapya waliojariwa hivi karibuni serikali inasuasua katika suala
zima la kuwalipa mishahara yao. Ina maana serikali haikujipanga kwa
hili?

Sio kipaumbele chetu kwa sasa,labda wavute subira hadi bajeti ijayo.
 
Kwa walio na nauli nawashauri warudi majumbani kwao mpaka mishahara ikianza kuingia kwenye akaunti ndio warudi kazini.
 
kama huwezi kazi acha! mimi naenda conference flani out! mpaka nirudi
 
Nasikia wale ambao hawakupeleka vyeti vyao vya Elimu ndio hawajalipwa. Ila waliowasilisha vyeti vya Elimu hawajapata hadha.
 
Si wabunge hao. Soteni ndo serikali yenu hii. Hayo ndiyo maisha bora kwa kila mwalimu na ufaulu bora kwa kila mwanafunzi.
 
Labda inategemea na halmashauri......Mbona walimu wapya wa manispaa ya Singida 2013, tushalamba chambichambi tupo kwenye mfumo kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…