Walimu wapya account za benki

Walimu wapya account za benki

Mahug

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
36
Reaction score
7
wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?
 
Acount unafunguliwa unapojaza mikataba.. ikitokea kuna benki nyingi hapo.. itategemea watakaowahi kuja hapo, but always ukiweza KUIEPUKA NMB ni vizuri zaidi.. ingawa iko maeneo mengi lakini sio nzuri..
 
Na je account niliyokuwa naitumia kuingiziwa bum hairuhusiwi kunitumia hiyo hiyo kwa mishahara?
 
Nitafurahi mkifuata ushauri wangu.
fungua ac NMB bank branch iwe jirani na halmashauri/ manisipaa ulikopangiwa, hii itakusaidia endapo kutatokea tatzo kwenye mshahara wako inakua rahsi kuprocess na mara nyingi ikitokea tatzo unaambiwa kalete bank statement ama nenda kaulize benki hivo kama ipo jirani na ofisi ya halmashhauri ako inakua simple kusolvika haraka.
lingine mishahara nmb inawahi 4 days before other banks
lingine ukipewa pesa ya kujikimu ni rahsi cheque kua procesed mapema within a day hii inatokanna na cheque hyo kua from nmb to nmb...but kama unapeleka other banks na upo ktk mkoa ambao BOT haipo cheque hyo itachukua more than 8days.
lingine mikopo na interest rate zao ni simple na ndogo respectvelly .
Kumbuka kufungua CHAPCHAP ac kwani ina zero charges na kufungua ni ndani ya nusu saa unakua na atm yako.
Pia kama una ac in other banks bado utalipwa stahki zako zote but utapata changamoto hzo hapo juu.
Ikitokea unataka kubadlisha ac inawezekana pia but inahakikisha umemtarifu hr wa LAWSON
 
kama n kijijin acount mpya tutafungua vip

Watu wa benki watawafuata wenyewe! huna haja ya kujiuliza itakuwaje! pia hata kama ulikuwa na akaunti itakupasa kufungua nyingine., nasisitiza tena ukiweza kuwaepuka NMB ni bora ukafanya hivyo... sio kweli kuwa wafanyakazi wote wanaolipwa nje ya NMB wanapata mshahara kwa kuchelewa maana mshahara unatoka siku 1 Tz nzima... huyo jamaa hapo ni mfanyakazi wa nmb ndio maana anavutia kwake... angekuwa anajua kujibu maswali angeenda kule kwenye uzi wao wa @nmbtanzania walioukimbia.
 
usemavyo wewe!!
sometimes jf mnakera na mnakatisha tamaa watu
kwa ushahidi afungue the bank tofauti na nmb ili alete ushahidi.
mdogo wangu kwa kukuelimisha mfanyakazi hapati hata faida yeyote wateja wakiongezeka ni bora ungesema mie ni shareholder!
Ndugu umeniharibia siku yangu!!
 
acount sio lazima ufungue mpya bora acount tu. mi nlienda na nliyokuwa naitumia chuo but inakubaliwa
 
wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?

Mmeambiwa mnapangiwa vijijini,ni vyema ukafungua acc ya NMB kwa kuwa utaweza kupata huduma za haraka pindi kunapokuwa na tatizo hasa linalohusu mshahara wako kwenye acc.
 
Ni NMB BANK na kuna Halmashauri nyingine huwa zinatoa form za vibali maalum vya utambulisho wa waajiriwa wapya kwa aajili ya kufungua acc. za mishahara. Na hata ukiwa na acc yako tayari huwa unashauriwa kufungua mpya.
 
usemavyo wewe!!
sometimes jf mnakera na mnakatisha tamaa watu
kwa ushahidi afungue the bank tofauti na nmb ili alete ushahidi.
mdogo wangu kwa kukuelimisha mfanyakazi hapati hata faida yeyote wateja wakiongezeka ni bora ungesema mie ni shareholder!
Ndugu umeniharibia siku yangu!!

Umezidi kuwatetea nmb bhana! wakati hakuna benki yenye huduma mbovu kama nmb.... mbona mimi sijataja benki yoyote hapo nimesema atakayewahi kufika sasa kama wewe ni mteja tu wa nmb why nisikushangae... mtu yoyote anayepigia debe nmb ananiharibia siku pia... kwaheri.
 
Naomba nikushauri kwa kutumia u senior wangu ktk ualimu na utumishi wa UMA.
1.Nmb bank ndiyo bank ambayo watumishi wengi wa idara ya ualimu wapo na mfumo wa mishahara ni wa mapema atleast siku chache kabla ya benk zingine.

2.Network ya nmb imefika hadi grassroot that is hata ukipangwa misenyi huna hofu ya kwenda mwanza mjini

3.kama ulikua na account before yatosha..kama ilikua nmb student acc ukimaliza chuo huwa ina upgrade na kuwa savings acc.

3.mimi nilikua mwalimu wa chuo ila nlitumia account tofauti na nmb but salary ilikua ina delay kidogo.

4.ukihitaji loan nmb kwa mwalimu na ka TGTS kako ndo penyewe.

Nimekupa taarifa sahihi kando ya hizo ni story;act accordingly.
 
kwa hiyo nyie walimu hata account hamna na hamjui nmb iko kila mahari?
 
Na je account niliyokuwa naitumia kuingiziwa bum hairuhusiwi kunitumia hiyo hiyo kwa mishahara?

Kama ni ya nmb wew cha kufanya unawapelekea account no.tu salary inazama
 
Back
Top Bottom