kama n kijijin acount mpya tutafungua vip
Na je account niliyokuwa naitumia kuingiziwa bum hairuhusiwi kunitumia hiyo hiyo kwa mishahara?
Watu wa benki watawafuata wenyewe! huna haja ya kujiuliza itakuwaje! pia hata kama ulikuwa na akaunti itakupasa kufungua nyingine., nasisitiza tena ukiweza kuwaepuka NMB ni bora ukafanya hivyo... sio kweli kuwa wafanyakazi wote wanaolipwa nje ya NMB wanapata mshahara kwa kuchelewa maana mshahara unatoka siku 1 Tz nzima... huyo jamaa hapo ni mfanyakazi wa nmb ndio maana anavutia kwake... angekuwa anajua kujibu maswali angeenda kule kwenye uzi wao wa @nmbtanzania walioukimbia.

wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?
usemavyo wewe!!
sometimes jf mnakera na mnakatisha tamaa watu
kwa ushahidi afungue the bank tofauti na nmb ili alete ushahidi.
mdogo wangu kwa kukuelimisha mfanyakazi hapati hata faida yeyote wateja wakiongezeka ni bora ungesema mie ni shareholder!
Ndugu umeniharibia siku yangu!!
kwa hiyo nyie walimu hata account hamna na hamjui nmb iko kila mahari?
"...speech is a product of thinking..."