Walimu wapya account za benki

wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?

NMB itakusaidia maana imesambaa sana wilayani.
 
mnajadl acount za benk? mnauhakika serkal inaajir walimu wapya mwaka huu, kweli huuu ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…