Walimu wapya Bariadi wapewa hela za kujikimu baada ya kuandamana.

Walimu wapya Bariadi wapewa hela za kujikimu baada ya kuandamana.

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Walimu wapya wa sekondari wilaya ya Bariadi leo wameamua kuandamana kwenda ofisi ya mkurugenzi kudai hela zao za kujikimu baada ya kuona afisa elimu akiwadanganya,baada ya kwenda kuonana na mkurugenzi mida ya saa 10 jioni ndo wakaanza kupewa hela zao lakini wakakuta kuwa walimu waliopangwa mjini wamepewa hela zaidi kuliko wale waliopangwa shule za vijijini wakati wilaya nyingine watu wamepewa hela sawa bila kujali umepangwa mjini au kijijini..Walimu wote wameadhimia kuwa kesho lazima pachimbike tena ili wapewe hela sawa wote maana haki haipatikani bila kuitafuta.Nitawajuza nn kitajiri siku ya jumatano.
 
Back
Top Bottom