Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe.
Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara.
Mbaya zaidi majibu ya Maafisa Elimu na Wakurugenzi hayana utu.

Mkuu, tutajie Halmashauri ya wilaya/mji/manispaa/jiji ambao mpaka sasa hivi hamjalipwa mishahara yenu.

Magu hali ni mbaya
Poleni sana. Mnazungumzia Magu gani?. Mbona walimu waliopangwa Itumbili, Rugeye, N'gwamabanza, Ilungu, Kinango, Magu, Sogesca, Kahangala na kwingineko ambao walilipoti muda mwafaka, inasemekana wameshalipwa!. Fuatilieni kwa DED mpate maelezo ya kina.