Mkuu wangu, ingawaje watu wanamponda sana Mulugo, lakini katika ufuatiliaji naamini Mulugo ni mzuri sana kuliko Kawambwa! Labda kawambwa apigiwe simu kisha amjulishe Mulugo otherwise, hakuna kitu hapo!Mkuu uliyekuwa unataka mawasiliano ya Waziri wa Elimu haya hapa.
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Dr. Shukuru
Middle Name : Jumanne
Last Name: Kawambwa
Member Type: Constituency Member
Constituent: Bagamoyo
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 9121, Dar es Salaam
Office Phone: +255 787 400 700
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: skawambwa@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 15 December 1957
Nakushauri kama kuwasiliana basi wasiliana na Mulugo kuliko Kawambwa! Kwa mtazamo wangu, namuona Mulugo ni mzuri sana ktk follow up kuliko Kawambwa!Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe.
Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara.
Mbaya zaidi majibu ya Maafisa Elimu na Wakurugenzi hayana utu.
halmashauri wilaya ya magu, mkoani mwanza!