Walimu wapya jiungeni hapa tufanye revolution

Walimu wapya jiungeni hapa tufanye revolution

Walimu wapya tujiungeni kwa kuwa umoja ni nguvu -leo tunatafuta watakaokuwa viongoz wa walimu ambao hawajaajiriw. Viongoz hao watakuwa wakitaifa kwa iyo jitokezen ili tuweze kupata nguvu kwa pamoja mie naanza kama kiongoz wenu kwa sasa nahitaji ushirikiano wenu
Hatuwezi kuonyeshwa kwamba sie ni wajinga tumevumilia tumechoka mwafrika mweusi anamnyonya mtu wa tabaka la chini katika siasa kijamii na kiuchumi tuungane tupate nguvu
Kila mkoa anatakiwa kiongoz na watakuwepo viongoz wa taifa zima tunataka mabadiliko nyerere aliweza je sie ? Mawasiliano - malivawan10@gmail.com

kazi kwako mi napita tu!
 
jamaa aombewe,kawaulize wakuu wa maandano ya madaktar na jkt kilichowakuta! ww utatupiliwa ktk mapori ya msata we leta wenge tu......
 
Aheri kuzaliwa mbuzi marekani kuliko binadamu Tanzania
 
Back
Top Bottom