Walimu wapya tujiungeni kwa kuwa umoja ni nguvu -leo tunatafuta watakaokuwa viongoz wa walimu ambao hawajaajiriw. Viongoz hao watakuwa wakitaifa kwa iyo jitokezen ili tuweze kupata nguvu kwa pamoja mie naanza kama kiongoz wenu kwa sasa nahitaji ushirikiano wenu
Hatuwezi kuonyeshwa kwamba sie ni wajinga tumevumilia tumechoka mwafrika mweusi anamnyonya mtu wa tabaka la chini katika siasa kijamii na kiuchumi tuungane tupate nguvu
Kila mkoa anatakiwa kiongoz na watakuwepo viongoz wa taifa zima tunataka mabadiliko nyerere aliweza je sie ? Mawasiliano - malivawan10@gmail.com