Walimu Wapya Lakini Watafundisha Nini?

ndo ulikopangiwaaa nn ticha


walimu vilaza ndo wanafundisha hilo somo

We -------- kweli. Mwalimu kilaza ndo kusemaje? Usitumie ujinga mwingi kuelezea jambo dogo hivyo. Kweli nimeudhika hadi mwisho. Siko radhi kuongea machafu ila nikuache.
 
Physics, mathematics,chemistry ni mama mkwe kwa hiki kizazi cha facebook.
 
Eeeee kweli kiswhili wanataka iwe lugha ya kimataifa aya mkuu kwa takwimu
 
Ndo nchi yetu inakoelekea na xaxa wanaongeza kuishusha thamani elmu yetu tz kwa kushusha viwango, mwisho tutabaki kuwa wakopaji tu wa mataifa mengine ambayo wenzetu wamexoma..... yataka moyo tuiombee nchi yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…