Walimu wapya-manispaa ya bukoba

Walimu wapya-manispaa ya bukoba

JOSE KASANO

Senior Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
122
Reaction score
95
Kiujumla katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wakimu wapya wengi wameripoti.Zoezi la kujaza fomu limefanyika bila matatizo ila DOLA YA KIMAREKANI eti hadi kesho tena kwa kuiandikia barua mbili. Barua moja kuomba kulipwa fedha ya kujikimu na barua ya pili kuomba kurudishiwa nauli (Maelekezo ya Afisa Utumishi Manispaa ya Bukoba)

Binafsi nimefurahishwa na lugha yao kwa kutoa maelezo yenye wingi wa ufafanuzi na tutarudi kesho saa mbili asubuhi kukamilisha kazi.Kesho kama hawalipi TUTALIWASHA maana WAHAYA kwa Lugha ni wazima( NSHOMIRE, NKASHOMA NEBIRATWA BYASHOMA)

Mji wa Bukoba uko powa.
 
Attachments

  • UKAGUZI WA VYETI-AJIRA MPYA.jpg
    UKAGUZI WA VYETI-AJIRA MPYA.jpg
    8.7 KB · Views: 123
  • KUKAGUA VYETI-AJIRA MPYA WALIMU.jpg
    KUKAGUA VYETI-AJIRA MPYA WALIMU.jpg
    12.5 KB · Views: 114
Nyie kesho? Du siye leo lazima kieleweke tushaandika barua za miposho kwetu ni moja tu sahzi 2po kwenye ukaguzi wa mivyeti ,ila wapo poa sana wamejipanga kila kitu kiko hapa mafotokopy mapicha ya paspot, shortly wamejiandaa vizuri!!
 
Mwalimu upo halmashauri gani?
 
Duh, Jana na leo mashirika ya NMB, CRDB, NBC na LAPF yamevamia Ofisi za Manispaa ya Kigoma/Ujiji kama mwewe kuja kuopoa wateja wapya (walimu ambao wameanza kuripoti hapo)! Ni mashindano hadi raha. Wote wameweka vibanda vya maelezo ya shughuli zao utafikiri kuna Maonesho ya Sabasaba!
 
ha ha ha wanafurahisha wanavyofanya promotion zao !
 
Back
Top Bottom