JOSE KASANO
Senior Member
- Apr 23, 2013
- 122
- 95
Kiujumla katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera waliimu wapya wengi wameripoti.Zoezi la kujaza fomu limefanyika bila matatizo ila DOLA YA KIMAREKANI eti hadi kesho tena kwa kuiandikia barua mbili. Barua moja kuomba kulipwa fedha ya kujikimu na barua ya pili kuomba kurudishiwa nauli (Maelekezo ya Afisa Utumishi Manispaa ya Bukoba)
Binafsi nimefurahishwa na lugha yao kwa kutoa maelezo yenye wingi wa ufafanuzi na tutarudi kesho saa mbili asubuhi kukamilisha kazi.Kesho kama hawalipi TUTALIWASHA maana WAHAYA kwa Lugha ni wazima( NSHOMIRE, NKASHOMA NEBIRATWA BYASHOMA). Mji wa Bukoba uko powa.
Serikali imeamua kuwaibia walimu kwa kulipa posho ya kujikimu kwa siku 7 badala ya siku 14 kama zinavyoainishwa kwenye Public servants standing orders 2009
Kwa wale walimu wanaohitaji kupata PUBLIC SERVANTS STANDING ORDERS 2009, tafadhali tembelea mtandao wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), You just type CWT TZ then click. Baadae nenda kwenye documents. Au Fungua attached file below.
Wenu katika utumishi uliotukuka