Habar wana jf,
kwa walimu mliotegemea kuajiriwa january na serikal, kwa wengi wenu n vijana so maisha ni leo/sasa kwan hiyo ahadi/tumain ishapotea na aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, pia ukiona manyoya jua keshaliwa kwan uvumilivu una kikomo.
La msing ndugu walimu ni kutumia elimu yako uloipata km n shahad, stashahada n.k kwa ajili yako bnafsi,familia na taifa kwani kwa serikal inayojal elimu haiwez kuwaacha walimu mitaan kwa miez 9 hali ya kuwa ina uhitaji nao mkbwa hasa kwa hiki kpnd.
Mwisho tumia elimu yko kujikomboa na mazingira yko!