Mathias Byabato JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,033 Reaction score 723 Sep 2, 2011 #1 Tafadhali naomba mwenye kujua anisaidie hivi walimu wapya ‘III A' wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?Naona kwenye website ya wizara ya elimu hakuna nitashukuru
Tafadhali naomba mwenye kujua anisaidie hivi walimu wapya ‘III A' wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?Naona kwenye website ya wizara ya elimu hakuna nitashukuru
M Mr.creative JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 492 Reaction score 117 Sep 2, 2011 #2 bado kijana mi mwenyewe nasubiri
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Sep 2, 2011 #3 Bado!!!vuta subiraaa
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 2, 2011 #4 Kama kwenye website moe hayapo, usiwe na shaka. Bado hawaja release.
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Sep 6, 2011 #5 Bado kijana nadhani watatoa pamoja na wale waliomaliza vyuo.