Walimu wapya wanaosubiria ajira eti wanataka kuandamana!

Mipale Steve

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
384
Reaction score
43
Ni hv punde 2 nimepata hii sms kutoka kwa mwenzangu ambaye 2nasubir wote ajira za ualimu kutoka serkalini sms imenishitua kidogo kwani inasema hv:

WALIMU WAPYA TUKUTANE DAR KUANZIA TAR 01-02-2013 KWA AJILI YA MAANDAMANO YA KUDAI AJIRA. MAANDAMANO YATAANZIA MWENGE KUELEKEA WIZARANI SAA TATU KAMILI ASUBUHI. Kumbuka tz bila mgomo na maandamano haiwezekani. Ukipata sms hii watumie na walimu wengne wanaosubiri ajira kama wewe.

-sasa najiuliza hv??
Hv ni kweli hadi watu waandamane ndo serikali ione matatizo yao?
-je? Ni kipi kinachoifanya serikal kuchelewa kutoa ajira?
-au n kwel serikal haina pesa?? Kama n kwel haina pesa mbona inasemekana kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru gvt ilitumia zaidi ya bilion 64.??
-au je? Ni kweli Walimu nch hii hatupewi thaman yeyote???

Je? Kama serikali ya Sisiemu ni sikivu mbona haijackia haya ya walimu? Au imevaa earphone masikioni?


M4C FO LIFE!
 
Msijaribu kabisa kuandamana hivi unapoandamana kwa sababu ndogo kama hiyo ukipewa kichapo ukavunjika kiuno hiyo kaz utafanyaje? Unaandamana kupewa ajira ukilipwa kiduchu utasemaje? Kuwa mvumilivu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii elimu ya siku hizi hii...!?? unaandamana kushinikiza uajiriwe...!? tuna safari ndefu
 
kama kweli nyie ni walimu ebu jaribuni kutumia mbinu ya kisomi zaidi..
 
Ndugu walimu mnayo haki ya kuandamana..tena mmechelewa sana watu walihitm tangu mwz may mpaka sahv miez mingap uko mtaan? wakat shule za kibao hazna then hawa wababaishaj wanazd kuwapga tarehe kwenye media..fanyen hvo bana mpaka kieleweke!..
 
Ndugu walimu mnayo haki ya kuandamana..tena mmechelewa sana watu walihitm tangu mwz may mpaka sahv miez mingap uko mtaan? wakat shule za kibao hazna then hawa wababaishaj wanazd kuwapga tarehe kwenye media..fanyen hvo bana mpaka kieleweke!..

tanzania tanzaniaaa
 
Msijaribu kabisa kuandamana hivi unapoandamana kwa sababu ndogo kama hiyo ukipewa kichapo ukavunjika kiuno hiyo kaz utafanyaje? Unaandamana kupewa ajira ukilipwa kiduchu utasemaje? Kuwa mvumilivu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

hoja yako haina mashiko.
 
Naunga mkono hoja, bahati mbaya nipo nje ya nchi vinginevyo ningeungana na nyinyi. Hii serikali ya mr fastjet bila kufanya action hakuna linalotekelezwa. Lamsingi sio ajira, ila watoe tamko ajira zitatoka lini ili kila m2 aendlee na program zake. Tangu kuzariwa cjawahi kuona wala kuckia serikali inayoongozwa na rais na mawaziri waongo isipokuwa Tanzania. Amkeni vijana mdai haki zenu, nchi imeshauzwa hii.
 
na lazma kieleweke dadeki zao hawa mbona mtwara imewezekana why walim? njoen bhana tngane
 
Revolution, revolution revolution

for changes.

Tanzania bila maandano............haiwezekani

jamani waaalimu wote dar andamaneni mkadai haki yenu.
Me nawasapoti 100% andamana hadi kieleweke si walisema january leo ni february.

Maaandamano kwanza ............. Afu mgomo utafata........
 
Ni kweli haya ni mateso ila cha kufanya serikali ilipaswa kusema ni lini itatoa ajira hizo ili kila mtu ajue cha kufanya,na kama ana mambo mengine mtu akafanya sio kuenderea kukaa bila kujua hatima yake!
 
serikali na uongozi mzima hawafikilii mbele zaidi kazi kuonga kodi ya mwananchi wa chini
 
Ni dhahiri kabisa Tanzania yetu imeshazamishwa na JK. Nyerere akifufuka leo ghafla hataamini kuwa hii ndiyo Tanzania aliyoiacha.
 
don't worry juu ya maandamano siku si nyingi mtaanza tu maandamano yenu mara tu baada ya kupangiwa vituo ili mpewe pesa za kujikimu pamoja na kucheleweshewa mishahara kwani wengine mtakaa vituoni bila mshahara miezi hadi 4
 
hebu tupe hiyo mbinu ya kisomi?

mbinu za kisomi mfano mnaweza kwenda ktk media like magazeti,redio,television etc tumieni media hizo kuihoj serikali kwa sababu kwa sasa hamna wa kumuuliza isitoshe hata serikal ilitumia media kutoa ahad ya ajira kwenu mkijitahid suala hilo likawa hot ktk media mtafanikiwa mapema sana na ujumbe wenu utafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…