Walimu wapya wanaosubiria ajira eti wanataka kuandamana!

Tanzania chini ya ccm kuna njia yakisomi waandamane tu ndo msg itamfikia muongo waziri feki na bana yao inaumiza kwa kweli
 
Nitaendelea kusisitiza ifike mahal watu waliosoma taaluma ya elimu wabadilike, movement nyingine hazina mashiko, kwani mnafikir nyie 2 ndo mlioahidiwa ajira? sasa kuna maafsa uvuv, madkt, manes, mifugo, misitu nk.. lakni wala huwasikii ! wanafanya mambo mengine, wakitaka kuwapa sawa wasipot aka sawa., walimu mmezoea kujiendekeza, YES. mnajiona wenye hak kuliko wengine, kulia lia na kubweteka, unakula kwa mama kusubir ajira, u ar hopples, u gotta to think out of that box dears!!
 
Kwa hili sijui maada itakuwa ni ipi! kidogo nakuta inakosa nguvu,bcoz huwezi mlazimisha mtu akuajiri,japo serikali inafanya usanii ktk hili kwa sababu shule nyingi hazina walimu lakini kudai kuajiriwa kwa kuandamana si suluhisho
 
Kumbe ualimu unalipa watu wakiwa vyuoni wanasemami nasoma tu kwa sababu ya mkopo lakini nikimaliza tu chuo nafanya kazi nyingine ualimu siutaki,kumbe ile huwa inakuwa maisha ya chuo tu ukimaliza chuo unautafuta mwenyewe na hizo kazi nyingine zote zinapotea
 
Tusome nyakati na mazingira. Nahisi waandamane maana pesa walotumia kusoma ni nyingi na wadaiwa. Watalipa lini ili wengine mokopo isisuesue? Vilevile mtazame huyo anaye taka wajiajiri yeye aliajiriwa afu anapiga kelele. Mhh, mfumo wetu ni uajiliwe c kujiajiri. Vinginevyo bangi iwe biashara halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…