Walimu wapya Wilaya ya Mbinga hatujapata mishahara, Waziri Jafo tuaomba ushughulikie hili

Walimu wapya Wilaya ya Mbinga hatujapata mishahara, Waziri Jafo tuaomba ushughulikie hili

Teleza1

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
190
Reaction score
198
Waalimu walioanza kazi mwezi wa 12 mwaka jana wilaya ya mbinga hatujapatamshahara, ukiwauliza wahusika wanakuambia hawajatuma majina yetu mwezi uliopita tulipewa lakini haikubainika wazi kama ilikuwa ni pesa ya kujikimu au mshahara, tunaomba mamlaka zinazohusika ziweze kufuatilia kwani hali ni mbaya tunashindia matango, waziri Jaffo fuatiliaili katika wilaya yetu yaani waalimu wapya ni wanne tu wamepewa pesa wengine tuliosalia wametupiga.
 
Sawa mkuu kua na imani wikii hii ni mwisho wa mwezi wataweka.
 
kuna na uvumilivu, ndo kipindi cha mshahara hiki, mpaka tar. 30 naimani watakuwa wameshaweka
 
Miradi kibao wenzako wamekopa!! Mpaka mwezi wa saba ndio wote mtakuwa mmepata
 
Kwa mwandiko huu wewe ni mwalimu kweli?Au ndo nyie mlipitishwa kimakosa na mfumo?

Anyway pole sana!Keep waiting.
 
Back
Top Bottom