Walimu wapya wilaya ya Muleba wamegoma kuchukua fedha za kujikimu ya siku 4 badala ya siku 7(diploma°ree)..afisa elimu na mkurugenz wamesema eti ndo agizo la kutoka wizara elimu na bado wakazid kuchakachua eti waliopangiwa shule zalizopo halimashauri ni sh 45 na wale wa vijjn ni 35, 25..duh mwl wa tanzania bado hali ni ngumu!

kwa hiyo mtafika lini mliopangiwa huku kwetu? Wahi maana masomo yanaendelea na shortage ya walimu ni kubwa mno maana hata hao waiopo bado uwezo wao tunakuwa na mashaka nao. Karibuni sanaHatimaye hela imelipwa ya siku4 45 kwa 30 baada ya mkurugenz wa wilaya kutuhubr na nyaraka zao..hela ya mizigo na naul eti tuandike barua na kuambatanisha tiket halisi! fedha iliyotumwa toka hazna ni sh 36ml kwa walim 300,eti nyingne ya siku 3 tusubr awam ya pili!