pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Acheni upotoshaji,, ajira 11015,zitatoka hivi karibuniRejea kichwa Cha habari hapo juu
Kuna rafiki zangu wamrepoti kazini kimya kimya katika zile ajira 12000 zilizotangazwa ..
Mpka sshv zile ajira zilikuwa magumashi tu ..
Serikali ya Samia bila connection sasahivi hautoboi hasa watoto wa masikini
AsanteAcheni upotoshaji,, ajira 11015,zitatoka hivi karibuni
Sema nini,Kuna muda mdomo huponzaSerikali ya Samia bila connection sasahivi hautoboi hasa watoto wa masikini
Jamaa meropokaji kweliSema nini,Kuna muda mdomo huponza
Mkuu ongezea nyama zaidi.Rejea kichwa Cha habari hapo juu
Kuna rafiki zangu wamrepoti kazini kimya kimya katika zile ajira 12000 zilizotangazwa ..
Mpka sshv zile ajira zilikuwa magumashi tu ..
Serikali ya Samia bila connection sasahivi hautoboi hasa watoto wa masikini
Nyama ziko chiniMkuu ongezea nyama zaidi.
Mzee hii serikali ya Samia...wanaipigia upatu lakin kama hauna connection sasahivi hautoboi...Kwamba hawakufanya usaili ila wameripoti au wanaona aibu kuripoti?
Kwahy wale walioreport ni uongo??aiseee nna ushaidi wa watu karb 30 wameshapagiwa vitu vya kaziAcheni upotoshaji,, ajira 11015,zitatoka hivi karibuni
Hongera kuwa na watu 30Kwahy wale walioreport ni uongo??aiseee nna ushaidi wa watu karb 30 wameshapagiwa vitu vya kazi
Mbona wengine tumetoboa bila connection mkuu! Kuwa mpoleMzee hii serikali ya Samia...wanaipigia upatu lakin kama hauna connection sasahivi hautoboi...
Hao ni tofauti na zenu mkuu! Muwe mnafuatilia matangazo ya ajira sio kukesha mitandaoni walimu wanaajiriwa kila muda na wanafanyiwa usaili utumishi na wanapangiwa vituo vya kazi! Usikariri mkuuKwahy wale walioreport ni uongo??aiseee nna ushaidi wa watu karb 30 wameshapagiwa vitu vya kazi
Nisha fika chini sizikutiNyama ziko chini
Ww ni mpumbavuRejea kichwa Cha habari hapo juu