Leo nimeingia mgahawa mmoja nikauliza bei ya chakula:
Mimi: naomba chakula cha mia 5.
Mhudumu: hamna chakula cha mia 5.
Mimi: basi poa ntarudi kikipatikana.
Mhudumu: kuna cha kuanzia elfu 2.
Mimi: we mhudumu kweli mjinga, cha mia 5 hamna cha elf 2 kitatokea wapi......sipendagi ujinga mimi.